Leo, Jumapili Novemba 8, ndiyo siku ya chati ya kwanza ya SOF TOP 10! Kura 154 zimehesabiwa — kutoka fomu, comments na live chat — na orodha ya nyimbo 10 bora za wasanii wadogo wa kambi iko tayari.
Kura zilifungwa Jumamosi saa sita usiku. Nyimbo zilizochaguliwa ni zile zilizofanya vizuri mtaani na kupendwa kuchezwa kwenye VOF Sounds FM. Nafasi ya kwanza ni ya nani? Chati kamili inakuja leo — na caption yenye kura na moto wa kila wimbo.
Chanzo: BYG Entertainment — https://www.youtube.com/watch?v=NLJhgU1xBpQ

