DWC na Mtaa Films wameamua kuacha vita — sasa wameungana kuleta Professional Party kubwa huko Kakuma! Tazama mahojiano haya kamili kujua walichopanga, na EP mpya "Layout" na "Secret of Love" Ep 10 zinazozinduliwa kwenye party hii.
Usisahau kulike, kusubscribe na kubonyeza kengele ili ufuatilie kila kipindi kipya cha Secret of Future.
Tazama video kamili hapa: https://www.youtube.com/watch?v=-Z5xwhU43qg
Chanzo: Secret of Future — YouTube

