Demalo Rispa ft JCA — "Piir E Kakuma" Trailer Rasmi Imekuja!
Habari njema kwa wapenzi wa muziki wa Kakuma! Trailer rasmi ya wimbo "Piir E Kakuma (New Version)" wa Demalo Rispa akiwa na JCA imetoka. Wimbo huu ni hadithi ya Kakuma — maumivu, matumaini na ujasiri wa watu wa kambi.
Video imeongozwa na Jamstar Gadafi, na kupigwa na kuhaririwa na Dir. Diing. Video kamili inakuja hivi karibuni.
⚠️ SIRI MUHIMU: Msanii mwenyewe ametoa ufafanuzi — sauti yoyote iliyokuwa inasambaa kabla ya hii SI version rasmi. Hii ndiyo project rasmi. Kwa hiyo kama ulisikia audio tofauti, hiyo si ya kweli!
Chanzo: YouTube — https://www.youtube.com/watch?v=sIINiwm5huU

