GOOD NEWS NI KWA WINS WETU WA SEASON ONE AND TWO!
Safari yetu ya "Voice of Future Challenges" bado inaendelea, na hatujafika kingoni bado! 💪 Mahana kila kitu mashindano, winner 🥇 ni mmoja tu – na sasa ni zamu YENU kumchagua!
Tunajua mna wasanii mnaowapenda zaidi kutoka Misimu yote miwili. Hivi karibuni, tutafungua rasmi KURA YA MASHABIKI kwenye website yetu!
Jitayarisheni kumpigia kura yule mnayempenda zaidi, na kumfanya awe
BINGWA WA MASHABIKI! 👑
Comments
Post a Comment